Bukobawadau

CAMERA YETU USO KWA USO NA WADAU MTAANI DECEMBER 2013

Libeneke la bukobawadau katika kuangaza mitaa mbalimbali mjini hapa.
Mitaa ya Airport mjini hapa wadau wakicheck na camera yetu, wakati huo mpiga mdau X akiwapanga vyema mdau Y na Z.
Matukio ya bukobawadau blog katika kushow love na wadau mtaani
 Mzee Bayona katika hili na lile.


Ndg Pidius pichani kushoto.

Hivi ndivyo wanavyo onyesha tabasamu wadau wanapokutana na Camera yetu mtaani.


Anaitwa mzee Kazinja pichani.
 Steve's Choice wao ni wauzaji wa nguo aina mbalimbali wanapatikana mkabala na Bakhta.
 Mdau Steven mkurugenzi wa Steve's Choice akicheck na camera yetu
 Muonekano wa jengo la Bakhta mjini Bukoba.
 Kijiwe cha seneti kilichopo nje ya soko kuu mjini hapa , camera yetu uso kwa uso na wadau pichani.
 Maeneo ya Seneti nje ya soko kuu mjini Bukoba.
 Wadau pichani wakibadilishana mawazo
 Mdau Fadhil Ibrahimu akibadilishana mawazo na Mdau Optaty Henry.
 Ndg Shaban katika pitapita zake mtaani


 Taswira viunga vya mji wa bukoba.
 Anaitwa Ndg Johannes Kahwa pichani,mdau huyu kwa sasa yupo likizo mjini hapa na anaishi jijini Dar es Salaam kama anavyo onekana  akifurahia hali ya hewa safi ya mjini hapa
Willy Kiroyera Rutta na Mdau Johannes Kahwa.
NI MATUKIO YA BUKOBAWADAU BLOG KATIKA KUSHOW LOVE NA WADAU MTAANI
Next Post Previous Post
Bukobawadau