Bukobawadau

INTER COLLEGE BASH-2013 NDANI YA WALKGUARD HOTEL MSANII CYRILL APAGAWISHA!!

 Jumamosi hii nov 30,2013Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na show ya wanafunzi wa vyuo vikuu vyote  Mjini Bukoba  ikijulikana kama Inter-College Bush,Wanafunzi kutoka vyuo vya SAUT BUKOBA CENTER na JOCUCO au TUMAINI wameweza kushindana kwa kucheza show, mitindo ya mavazi,vipaji vya kuiga sauti ya OBAMA na kushika kipaza.
  Msanii aliyepagawisha usiku huu Rapper Kamikaze Cyrill akifanya mambo yake ndani ya ukumbi wa THE WALKGARD HOTEL Bukoba. 
 Hivi ndivyo Jukwa  lilivamiwa na msanii wa Bongo Flava Cyrill aliyesindikizwa na Msanii Kricha .
Mpango mzima katika vazi la kanga.
Wanafunzi wa SAUT katika vazi la kitenge.
 Washiriki mbele ya jukwaa wakionyesha kujali na kujiamini.
Bukobawadau blog tunachoweza kusema ni kwamba kila kitu kiliandaliwa na kuthibitishwa kisomi zaidi.
Show imebamba sana, watu wakiangaika na matukio
Haya ndiyo  matukio yanayo dhihirisha.
Wadau wakiripuka kwa shangwe.
Ma fans wakishow love.
Camera yetu ikiangaza kona mbalimbali, shughuli hii ni chini ya udhamini wa Walkguard Hotel, Kasibante Fm Radio , New Coffee Tree Hotel na Tbl.
 Mr Kahabuka na Ras Arnold wakishow love.
Sehemu ya wadau ukumbini.
Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa  Inter collage Bash 2013 Bukoba
 Mahudhurio ya Couter si mchezo
Katika umakini wadau wakifuatilia show.
Kwa wasanii wa mjini hapa fabolous wa usiku ni msanii Suka Lyrics
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO NA PICHA ZOTE JIUNGE NASI KWA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK KUPITIA LINK HII https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl 
Bukobawadau Blog na Jamco Blog tumakufikia popote ulipo
Katika pozi ni Mc wa shughuli hii Mc Josh kutoka JOCUCO.
Kijana Faustine Agathon akicheck na Camera yetu
 Ukizingatia shangwe hizi ni chini ya udhamini wa Tbl...!!
Show kali ya Alingo ikiendelea hawa ni wanafunzi wa SAUT
Mambo ya harusi nayo yalihusika na kuwapagawisha mashabiki ukumbini
Kama inavyo onekana pichani, tukio la kumvisha pete Bi Harusi. 
Naaam!!
 Walkguard imeenea si polepole.
 Fashion Show
MMMhh  
Mnyamwezi DS alipata  fursa ya kutoa neno na kisha kutoa zawadi kwa washindi  watatu bora waliopendeza,na hii ni kutokana na yeye kuwa mwanamitindo anayekubalika mjini hapa.
Ds Dona STYLE jukwaani
Mwingine tayari.....!!
 Mc Octavian Msigaz akionyesha umahiri  wake katika kusebeneka.
 Kutoka chuo cha SAUT ni mshereheshaji wa shughuli hii Mc Ansy maarufu kama Octavian akifanya yake jikwaani.
Upande wa Sound tupo na Gift Music waliopo mtaa wa tupendane katikati ya mji wa Bukoba
 Maswahiba nao ndani
 The Walkgard Hotel Bukoba
Wadau uso kwa uso na Camera yetu
 Watu nafuraha zao
Msanii wa hapa bukoba akiwajibika jukwaani
ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO NA PICHA ZOTE JIUNGE NASI KWA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK KUPITIA LINK HII https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl 
Next Post Previous Post
Bukobawadau