Bukobawadau

MATUKIO KATIKA SEND OFF PARTY YA BI JANE MALINGA

 
Matukio katika shughuli ya send off ya Bi Jane Malinga iliyofanyika  hivi majuzi katika ukumbi wa Mirado Sinza jijini Dar es Salaam.
 Kivutio kikubwa ni mchanganyiko wa rangi  hizi mbili GREEN & RED
Mambo ya Khona yakichukua kasi kutoka ka Uhuru ft Mafikizolo.
Bi Jane akipeleka zawadi ya keki kwa wazazi wake.
Bukobawadau blog tunatoa hongera kwako Bi Jane Malinga , hongera pia kwa wazazi wako kufutia  heshima kubwa uliowapa!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau