MR.HASSAN(HANS) MUNJURI AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI
Ndg Hassan Munjari maarufu kwa jina la Hans ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu asiyejulikana,tukio hilo limetokea majira ya saa 4 usiku wa Jumamosi Dec 7,2013 maeneo ya Yaasila mjini bukoba.
Jeshi la Polisi bado linaendeleana uchunguzi wa kifo hicho.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen!