Bukobawadau

TUNASIKITIKA KUPOKEA TAARIFA ZA KIFO CHA NDUGU RAKESH KILICHOTOKEA JIONI YA LEO DEC 19,2013 AKIWA ANAENDELEA KUPATA MATIBABU KATIKA HOSPITAL YA BUGANDO JIJINI MWANZA.

Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia ya Marehemu Rakesh,tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema aipokee na kuilaza Roho yakeMahala Pema peponi Amen!!
Mazishi ya Marehemu Rakesh yatafanyika  jumamosi Dec 21,2013 saa kumi jioni katika makaburi ya Bunena Mjini Bukoba
Next Post Previous Post
Bukobawadau