Bukobawadau

MATUKIO USIKU WA BEN MULOKOZI NDANI YA LINAS NIGHT CLUB DEC 20,2013 NA UJIO WA TUMUSIME BOCKO

Pichani kushoto ni Mdau Tumusime Bocko  mara baada ya kukutana na Mkurugenzi wa Linas Night Club , Ndg Mtensa pichani kulia, Mdau Tumusime yeye anaishi huko Chicago, Illinois ila kwa sasa yupo nyumbani  kwa ajili ya mapumziko.
 Gahafla likatokea kundi dogo la watu wakiwa wameongozana na Mtu mzima Ben Mulokozi.
 Mdau Tumusime Bocko uso kwa uso na Mdau Ben Mulokozi.
 Mkubwa Ben Mulokozi akiwa na makamanda wake,  Ndg Basibila na Mtata Bushira.
Katika picha ya pamoja wadau wakishow love, Yupo pia Mdau Joha Lugenge pichani katikati.
Ndani ya Club linas Shangwe zikiendelea, Mtamboni  akiwa kasimama vyema Dj Max.
Dj Max pichani kushoto akipongezwa kwa kazi nzuri,ni Mdau Bock akionyesha kumkubali.
'Kwata Obwambi twegendele' ni maneno ya kihaya kutoka kwa Mdau Ben Mulokozi akimaanisha 'Kamata fursa twendezetu' huu ndio usiku wa Ben Mulokozi!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau