Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MJINI BUKOBA JAN 13,2014

 Muonekano wa Jengo la Chama cha mapinduzi ambalo ujenzi wake haujakamilika.
 Barabara ya Upendo Lodge mjini Bukoba.
 Mjengo la Ofisi kuu za  Kagera Coperative Union(KCU)1990 LTD.
 Jengo la CCM Mkoa wa Kagera.
Barabara ya Samuel Luangisa.
 New Coffee Tree Hotel.
Camera yetu uso kwa uso na mwanamama Pasycazia,Meneja msaidizi wa New Coffee Tree Hotel.
Kuingia ndani  ya New Coffee Hotel ,Namuona mtu Kama Justuce Lugaibula akiwa amesimama.
Wakati huo akibadilishana mawazo na Mdau Rahym Kabyemela.
Wadau pichani Justuce na Mr Kamuzora wanaonekana wakifurahia huduma bora ya kitoweo cha supu ya samaki ,Hii ni moja ya sifa kubwa walionaya New Coffee Tree Hotel kuhusu maswala ya msosi.
Muda si muda anaingia Mdau Hafidhu (Nkurukumbi) pichani kulia. kama inavyo onekana akipewa angalizo.
 Mdau Kamuzora (Katikati)anasema kwake hii ni moja yanafasi ya kupumzika na kufurahia na jamaa zake. 
Moja ya meza  waliyoketi wadau ikiwa pembezoni kabisa mwa hoteli hii ya New Coffee Tree Hotel
Kutoka kushoto ni Badru Kaitaba, Mdau katikati jina( ) na wa mwisho ni Ruge Magari.
Camera yetu ikiendelea kuangaza huku na kule, katika hotel hii iliyo chini ya Chama cha ushirika Karagwe.
Bango la ukutani linasomeka hivyo.
Upande wa nyuma wa Hotel, Camera yetu inakutana na Wadau Eugin Kabendera na Steven Byabato.
Mmoja wa wahudumu , New Coffee Tree Hotel.
Upande wa pili Mdau Afidhu karejea  tena.
Mr Kamuzora na Justuce wakiwa faragha kidogo.
 Maneno mawili, matatu katika kuagana.
Mikono ya kila jema,katikati yupo mzee Basibila.
Mdau Justuce Lugaibula(Mganyizi) akichukua zake kasi.
Macho ya Camera yetu yakiangaza viwanja vya Bukoba Club.
Ndg Ruge anasema Shangwe zikaendelea katika viwanja hivi pia.
Yupo pia ndg Badru Kaitaba,
Mr Kamuzora akiendeleza furaha ya mapumziko yake 
Michomo ya Bukoba Club kama kawaida.
 Eugin & Badru
Taswira viwanja vya Gymkhana ,Bukoba Club.


Next Post Previous Post
Bukobawadau