Bukobawadau

MAMBO AMBAYO HUYAJUI KUHUSU TEMBO!

TEMBO pamoja na ukubwa wake hana kishindo kabisa.uzito wa tembo mmoja hufikia hadi tani 7 na jike hubeba mimba miez 24(miaka miwili),mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80.chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40,umri wake wa kuishi ni miaka 60.tembo dume hubalehe akiwa umri wa miaka 10 hadi 15(jike miaka 12-14) na anafanya mapenzi kwa saa 6.dume kiungo chake cha uzazi kina urefu wa mita 2.TEMBO dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne.akipiga bao manii zake ni ujazo wa lita tano.TEMBO hawana uwezo mkubwa wa kutambua vitu kwa kuona,hutegemea kunusa na kusikia kuweza kufanikisha shughuli zao.TEMBO huzikana kama wafanyavyo binadamu na baada ya siku 40 hurudi kwenye kaburi na kulizunguka mara chache na kuondoka mahala pale!!!.
Next Post Previous Post
Bukobawadau