Bukobawadau

PITIA SALAAM ZA HERI YA MWAKA MPYA KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI JAN 11,2014 Rita Laurent na Goreth Laurent tunatoa salaam za heeri ya mwaka mpya kwa Ndugu Jamaa Na Marafiki, tuna shukuru Sana Mc Baraka kwa kutuweka karibu na Nyumbani Bukoba tunapata Habari nzuri kutoka bukoba na picha zenye kuvutia , tumefurahi sana kwa moyo huo na wale wanao sadia kufanikisha hii blog kuendelea vizuri mpaka sasa.Tunashuru sana
 Mdau Muberwa,Nawatakia heri ya mwaka mpya 2014 watu wote duniani. Ujumbe wangu tuweke amani mbele. Watanzania tuwe wabunifu na si walalamishi
 Kutoka Muleba ni mwanadada Rita Tibaijuka anawatakia wadau nyote heri ya mwaka mpya 2014.
Regica Rwamulege na mumewe G.Rwamugira. Ujumbe: Tunawapenda wote hatubagui rangi wala Kabila. Tunaipenda Tanzania zaidi ya yote, tunawamiss Wadau wa Bukoba.
Mdau Mwesiga Johnstone;New Years marks a new beginning. New people to meet, new adventures to enjoy and new memories to create. Here's wishing you the Happiest New Year ever!
 Levis Lupondije a.k.a DUBE Nawatakia heri ya mwaka  mpya 2014A, Maisha ni kupambana tu, tukaze buti hakuna kulala, haijalishi uko wapi na unafanya nini kwa wakati  upi.'HAPPY NEW YEAR 2014
 Sarah Katarama,May you all be blessed with joy and happiness all the year round....Happy new year 2014.
 Salaam Za Heri na Fanaka ya Krismasi na Mwaka Mpya 2014 kutoka Kwa Deo Mugoa,Toronto Canada
 Heri ya mwaka mpya tunamshukuru mungu kwa kuona mwaka mwingine tusiache kumshukuru mungu kwa mazuri na mabaya kwani yeye ndiye mwingi wa rehma.Aj Ubao,Washington, District of Columbia
 Each new day is a blank page in the diary of your life. The secret of success is in turning that diary into the best story you possibly can. I wish you Happy New Year and diary full of best stories ever written in your life. SUKA LYRICS 2014.
 2014 is a brand new year. Forget about the past, Live your Brand New Life,Take chances,Be crazy sometimes and work very hard.Dont waste ur time to please people,thats old shit.Do what is right for u,No body walks in your shoes "The only person that can save u is u" Happy New Year.Shamila Ismail,RussiaUkraine
Belinda Rugarabamu A.k.a mwanaharakati..Nawatakia Heri ya mwaka mpya 2014 familia yangu na watu wote wapenda maendeleo. Ujumbe-Tuache majungu makazini,tupige kazi kwa bidii maana majungu c mtaji!
 Kokubelwa Kamaleki kutoka  Karagwe nawatakia ndg ,jamaa na wadau wote heri ya mwaka mpya.
 I thank you for creating ths amazing blog that brings light in and out our town and to my life in general. Keep up with the good work that make change in our daily basis..Happy# 2014 kwa wadau wote. Mungu ibariki Bukoba wadau kwa ushirikiano mzuri. Naitwa Salmin Saleh kyaishozi.
 Edward Martin Hilary Nashukuru mungu kwa kunipa afya nja kuweza kufika mwaka mpya 2014
 Ninapenda kutuma salam za heri ya ya Mwaka mpya kutoka London England kwa familia ya baba yangu Mdogo Mr Emanuel Kagya (BKB club) na familia yake. From Denis L Mugizi.
 On behalf of my family....I wish you all the best on the occasion of the New Year’s Day,. Hope this 2014 brings new inspiration to mind and bring lots of happiness in ur life. Best of luck to all my friends, relatives and all found in Bukoba especially my mom, young sister Penina and my best friend Maja although i'm not there but our soul and heart are still together.Justine Cyprian, Dar
Next Post Previous Post
Bukobawadau