Bukobawadau

TANZIA WAZIRI WA FEDHA DR WILLIAM MGIMWA AFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI

Taarifa za kuaminika zilizotufikia hii leo zinasema Waziri wa fedha na uchumi mheshimiwa Dr.William Mgimwa amefariki dunia leo asubuhi.
Bukobawadau Blog tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Waziri wetu wa fedha
Mwenyezi Mungu  ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau