Bukobawadau

TASWIRA KIJIJINI RUZINGA KANYIGO LEO JAN 29,2014

Camera yetu Kijijini  Ruzinga Kanyigo Wilaya ya Missenyi, pichani ni muonekano wa Kanisa Dayosisi ya Usharika Ruzinga
 Bango la Kanisa la KKKT Kijijini Ruzinga.
 Picha ya kanisa la KKKT Ruzinga kwa ubavuni.
Taswira ya milima iliyopo ukanda huu hii itakuwa imewagusa sana Wakazi na wazawa wa Vijiji vingine kama Ibugule-Mtita, Chigongwe-Kigwe, Rulalo, Bushango na  Kashenye.
 Mandhari  maeneo ya bondeni , kijijini Ruzinga.
 Bango la shule ya Msingi Ruzinga
Vyumba vya madarasa ya shule ya msingi Ruzinga
 Kengere ya Shule.
Majengo ya Madarasa.
Uwanja wa mpira wa shule ya Msingi Ruzinga
Nyumba za Walimu wa Shule ya Msingi Ruzinga.
Maduka Ruzinga Center.
Kanisa laPentekosta lililopo Kijijini Ruzinga
 Bukobawaau Blog ikiendelea kukuangazia maenea mbalimbali mkoani Kagera.
 Barabara kuu kuingia na Kutoka vijiji jirani vya Kabambilo, Buyango B, Bukwali na Mitaga. 
 Ruzinga ni kijiji cha mwisho kabisa ,katika ukanda huu wa Kanyigo.
 Mazingira mazuri Kijijini Ruhunga,Zipo nyumba zenye ubora na zenye kuhitaji kuboreshwa.


 Nyumba ya mwananchi wa Kijijini hapa.
 Majengo ya biashara yaliopo kijijini hapa.
Jengo la ofisi ya Kata ya Ruhunga Kanyigo.
Kijani hakika ni asili yetu wana Kagera.

Next Post Previous Post
Bukobawadau