Bukobawadau

TASWIRA MKESHA WA MAULID KUZALIWA MTUME MUHAMMAD(SAW)ILIYOFANYIKA UWANJA WA UHURU MJINI BUKOBA JAN 14,2014

Pichani Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislam mkoani Kagera katika mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Uhuru ( Mayunga)kata ya Bilele ndani ya Manispaa ya mji Bukoba,Usiku wa kuamkia leo Januari 14, 2014.
  Taswira maelfu ya waumin wa dini ya kiislamu walivyojumuika kwa pamoja katika sherehe za mkesha wa Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W).
 Haji Hamza ndiye mratibu na kiongozi wa Mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)kama anavyo onekana pichani akitoa ratiba juu ya kinacho endelea
 Mzee Ali Kagile.
Mwenyekiti Baraza la Bakwata Mkoa Haji Abuba Sued.
 Sheikh Haruna Kichwabuta akitoa utambulisho na kuwakaribisha viongozi wa misikiti na madhehebu mbalimbali ya kiislam.
Salum (Al Saqry) mwenyekiti msiki wa Waarabu mjini hapa akitoa salaam.
Kutoka Wilayani Missenyi, pichani ni viongozi wa misikiti mikuu ya Kyaka na Mutukula.
Murtaza mwenyekiti ,msikiti wa Wahindi Bukoba akiteta jambo ja Sheikh Haruna Kichwabuta.
 Kiongozi wa Msikiti Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mjini , katika utambulisho.
 Wanafunzi kutoka madara mbalimbali Mkoani Kagera ziliweza kutumbuiza katika jukwaa moja,Usiku wa Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)
 Moja ya Madrasa iliyofanya vizuri kwa usiku wa Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad.
 Mwalimu wa madarasa akighani
 Murtaza akiwatunza wanafunzi wa madarasa.
 Waumini wakifurahia 'Kaswida'
 Wacha weeeh watu wakifurahia 'Kaswida' kiimani  ndio muziki mtamu na mzuri
 Waumin wa dini ya Kiislamu, katika mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika katika Uwanja wa Uhuru ( Mayunga) Mjini hapa.
 Wakiinuka tayari kuwatunza wanafunzi wa Madrasa, pichani nyuma ni Mzee Yakubu(Katoma line)
 Mzee Abdallah King akishindwa kujizuia.
 Mr Kandanda akijongea mbele..
 Pembezoni Vijana wa Kiisalam katika mkesha wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad.
 Yupo Abdulmalick Tibabimale, mzee Haruna Mugura na waumini wengine
Viwanja vya mayunga uswahilini bilele Mjini Bukoba, hii ni historia nyingine mjini hapa.
Maulid ikiendelea,hivi ndivyo Waumini walivyo upamba usiku wa Kazaliwa Mtume wao.
 Anaonekana Haji Nuru Galiatano na Mzee Yahya( Baba Shakira) wa Majengo mapya Bukoba.
 Sehemu ya watoto na wazazi wao katika  usiku wa Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad.
Mzee wetu Abdulziad Kashinde kushoto, kulia ni sheikh wa Wilaya ya Muleba, Sheikh Kagimbu.
Muonekano sehemu ya wanawake.

Kisomo cha Maulid kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.).

 Haji Hamza, akitoa ratiba juu ya kinachofuata, ikiwa ni burudani ya 'Dufu'
 Burudani ya sifa sitahiki ya Mtume kupitia Dufu ndicho kinachoendelea.VIDEO yake inapatikani humu Bukobawadau Blog ,ikiwa chini ya habari hii.
 Sheikh wa Mkoa wa Kagera Sheikh  Haruna Kichwabuta, akishindwa kujizuia.
 Naam , hivi ndivyo wanaume kutoka Kanshenene walivyo uoamba usiku wa Kuzaliwa kwake Mtume Muhammad (S.A.W) 
 Anaonekana Ustaadh Hamad Ramadhani(zamani Hamad Manyema)
 Sehemu ya waumini.
Kwa picha zaidi unaomba kuingia katika ukurasa wetu wa facebook ujulikanao kama (Bukobawadau Entertainment Media) ni ukurasa mpya baada ya ule wa zamadi kufanyiwa ndivyo sivyo na(hackers) walioweza kuhack na kutupokonya.
 Kwa habari na picha ziadi,zinapatikana kwa ku like ukarasa wetu kupitia link hii>https://www.facebook.com/
Next Post Previous Post
Bukobawadau