AJALI YA BASI HUKO SINGIDA ISUNA FEB 2,2014
Ajali ya Basi likiwa limegonga lori aina ya fuso kwa nyuma imetokea huko Singida.
Ajali hii imetokea majira ya saa 11 jioni Feb 2,2014 eneo la Isuna Singida
Watu wawili wamejeruhiwa vibaya sana na mmoja amekatika mguu na mkono.
Wakazi wa Singida wakishuhudia tukio la uokoaji
Taswira ajali ilivyotekea.