Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI NDOGO YA MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI NA PACIFIC (ACP)

 Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific Dr. Diodorus Buberwa Kamala  akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Ndogo ya Mabalozi wa ACP baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika leo Brussels.
Balozi wa Tanzania BELUX, Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific Dr. Diodorus Buberwa Kamala  akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wa Wajumbe wa Kamati Ndogo ya Mabalozi wa ACP baada ya kikao cha mashauriano kilichofanyika leo Brussels.
Next Post Previous Post
Bukobawadau