Bukobawadau

CCM YAVUNA WASANII WA BONGO MOVIE LEO FEB 2,2014


MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE LEO AMEVUNJA UKIMYA NA KUZUNGUMZIA SUALA LA MAWAZIRI WALIOTUHUMIWA NA WANANCHI KUWA MIZIGO WAKATI WA ZIARA ZA KATIBU MKUU WA CCM, ABDULRAHMAN KINANA NA BAADHI YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI KATIKA MIKOA KADHAA NCHINI MWISHONI MWA MWAKA JANA.
 "NAJUA WAPO BAADHI YA WATANZANIA, WALITAKA MAWAZIRI WALIOTAJWA KUWA NI MIZIGO WAFUKUZWE KAZI, NA KWA VILE HALIKUFANYIKA BASI SUALA HILO LIMEGEUZWA KUWA LA MALUMBANO, NI VYEMA IELEWEKE KUWA KUITWA KWA MAWAZIRI HAO NA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM), HAKUNA MAANA YA KUISHIA KUFUKUZWA", ALISEMA, KIKWETE AKIHUTUBIA MAELFU YA WATU KATIKA SHEREHE ZA KILELE CHA MIAKA 37 YA CCM, KWENYE UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE JIJINI MBEYA.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kupata wanachama wapya ambao ni wasanii wa tasnia mbalimbali, miongoni mwao ni Uwoya, Johari, Banana, JB na Mboto, baba haji,richie
Pichani wasanii hao wakiwa ndani ya Uwanja wa  SOKOINE tayari msanii Diamond na wengine wao walishajiunga CCM siku nyingi.


Next Post Previous Post
Bukobawadau