MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MCHUNGAJI JACKSON JAMES KABUGA JIONI YA LEO FEB 11,2014
Kinacho endelea katika picha ni Ibada ya heshima kwa mwili wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga , Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God lililopo Hamugembe ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba.
Wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga.
Picha ya Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga , Shujaa wa Imani aliyemaliza kazi yake 1954-2014.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga,ukiwa unaombewa kwenye Kanisa la Tanzania Assemblies Of God lililopo Hamugembe ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Taswira nje ya Kanisa la (TAG) lililopo Hamugembe.
Foleni kubwa ikiendelea wakati wa zoezi la kushuhudia mwili wa Marehemu Mchungaji Kabuga.
Wanakwaya wa sharika Hamugembe wakiimba nyimbo za kumsifu Mungu.
Jeneza likifunuliwa tayari kwa zoezi la kushuhudia
Bishop Dr. Barnabas Mtokambali Kanisa la Tanzania Assemblies Of God akitoa heshima za mwisho katika kuuaga Mwili wa marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga
Zoezi la kushuhudia na kuuaga mwili wa Mchungaji Jackson James Kabuga likiendelea.
Katika zoezi zima la kushuhudia mwili wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga
Sehemu ya Watoto wa Marehemu wakishinda kabisa kuweza kushuhudia .
Christopher Jackson Kabuga mmoja kati ya watoto 9 wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga, akichukuwa kumbukumbuku ya picha wakati wa zoezi la kushuhudia.
Mdau Mch. 'Zilizo Baraka' akiendelea kuratibu baadhi ya mambo nje ya kanisa.
Nje ya kanisa kamati ya usafiri ikiwa tayari kuongoza msafara wa safari ya Mazishi.
Mwakilishiwa wa CRDB akitoa rambirambi
Msafara kuelekea nyumbani kwa Marehemu Kagondo, nje kidogo Mji wa Bukoba.
Shughuli hii imepata ushirikiano wa dhati kutoka Jeshi lao la Polisi
Msafari ukiwa barabara kuu ya Uganda kuelekea Rwamishenye
Hivi ndivyo ulivyokuwa msafari wa mazishi ya Mchungaji Jackson James Kabuga.
Huyu nae aliingilia msafara bila ustaarabu, na Camera yetu ikamnasa!!
Shughuli ya Mazishi imefanyika nyumbani kwa Marehemu Kata ya Kagondo nje kidogo ya Mji wa Bukoba, ili kupata taswira kamili juu ya shughuli hii mwanzo mwisho jiunge na ukurasa wetu wa facebook ujulikanao kama(bukobawadau intertainment media)
Mama Mjane wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga.
Shughuli ya Mazishi ikiendelea.
Umati mkubwa umehudhuria shughuli hii ya maziko ya mchungaji
Jeneza la mwili wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga likiingizwa kaburini.
Hii ndiyo Safari ya mwisho ya maisha ya Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga.
Sehemu ya wanahabari wakiwajibika.
Wachungaji wakiweka udongo kwa pamoja.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Dk. Barnabas Mtokambali akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga
Mr.Thadeus Mutarubukwa akisogea kuweka shada la maua.
Mr Thadeus Mutarubukwa ambaye ni Mkurugenzi wa (GOEC )GeraldinaOrphanage education Centre"na mkewe wakiweka shada la maua kaburini.
Zoezi la kuweka mashada kaburini likiendelea.
Heshima za kuweka mashada ya maua zikiendelea.
Vijana marafiki wa familia ya Marehemu Mchungaji Kabuga wakiweka shada kaburini.
Bishop Dr. Barnabas Mtokambali Kanisa la Tanzania Assemblies Of God yaani TAG akitoa nasaha katika shughuli ya mazishi ya marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga leo Feb 11,2014.
Hivi ndivyo yalivyofanyika mazishi ya MchungajiJackson James Kabuga
Watoto wa Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga katika picha ya kumbukumbu
PICHA 200 ZAIDI KUHUSU TUKIO HILI ZINAPATIKATA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK JIUNGE NASI KWA KU LIKE UKURASA HUO NA KUPATA TASWIRA KAMILI YA SHUGHULI HII , GONGA HAPA>https://www.facebook.com/Bukobawadau

Sehemu ya waombolezaji.
Watu wakianza kutawanyika baada ya kumaliza shughuli ya Mazishi.
Kijana Godfrey Bwogi
Nihuzuni mkubwa kwa kila aliye mjua Marehemu Mchungaji Jackson James Kabuga
Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa familia ya Marehemu Mchungaji Jackson James KabugaPICHA 200 ZAIDI KUHUSU TUKIO HILI ZINAPATIKATA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK JIUNGE NASI KWA KU LIKE UKURASA HUO NA KUPATA TASWIRA KAMILI YA SHUGHULI HII , GONGA HAPA>https://www.facebook.com/Bukobawadau