Bukobawadau

MH.PANDU KIFICHO MWENYEKITI WA BUNGE LA KATIBA

Mheshimiwa Pandu Amir Kificho ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558 zilizopigwa na kuwaacha kwa mbali Costa Mahalu na Magdalena Rwebangira ambao wamepata kura 84 kila mmoja ambazo ni sawa na 14.79%
Kura saba ziliharibika
Kabla Mh. Kificho ajachagulia, zoezi la upigaji wa kura lilikuwa tabu  kidogo baada ya Wabunge waliohesabiwa kuwa 548 lakini kura zilizopigwa zikapatikana 568 hivyo idadi hiyo imekosa maelezo ya ongezeko ndipo Katibu akatoa ushauri  zoezi la kura lirudiwe.
Next Post Previous Post
Bukobawadau