Bukobawadau

MWILI WA MAREHEMU BI VERDIANA PETRO KYAMANI UKIWASILI MJINI HAPA LEO FEB 19,2014

Uwanja wa ndege mjini Bukoba .
Ndege maalumu yenye mwili wa Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani ikiwasili  mjini hapa, kutokea jijini Dar es Salaam na Kupokelewa na ndugu na marafiki wa familia,Mchana wa leo Feb 19,2014
Mwili wa Marehemu ukitolewa  uwanja wa ndege, kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kijijini Kishanda Muleba kwa shughuli za mazishi.
 Bi Elimenigilda Kyamani ambaye ni Mmoja kati ya Watoto wa Marehemu Verdiana Petro Kyamani akiwa katika simanzi kutokana na kifo cha mama yake mzazi.
 Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani alizaliwa mwaka 1952 -2014
 Nje ya Uwanja wa ndege mjini hapa, mwili wa Marehemu  ukiwa tayari kusafirishwa kuelekea kijijini IhungaKishanda Muleba .
Mdau Rugonzi Kyamani,ni kati ya Watoto wa Marehemu akiwa katika simanzi kubwa.
Nje ya uwanja wa ndege wa Manispaa ya Mji wa Bukoba katika mwenye suti ni Ndg Oswald  mtoto wa kwanza mkubwa kati ya watoto tisa aliowaacha Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani.
 Kulia kabisa ni Ndugu Ermest Muhazi, akiwa amefika uwanjani hapa kwa ajili ya kupokea mwili wa Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani
simanzi nzito katika ndugu na watoto wa familia ya Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani.
 Ni uzuni mkubwa kwa ndugu na jamaa wa familia
Timu nzima ya  Bukobawadau Blog tunatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia ya Marehemu Bi Verdiana Petro Kyamani ,tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu,ailaze roho ya marehemu  mahali pema peponi"Amen
Taswira uwanja wa ndege Mjini Bukoba leo Feb 19,2014

Next Post Previous Post
Bukobawadau