Bukobawadau

NJOO USHUHUDIE NYIMBO TAMU ZA KIMAHABA NA ZAWADI KEM KEM SIKU YA WAPENDANAO (VALENTINE'S DAY) NA LIVE MUSIC KUTOKA SKYLIGHT BAND IJUMAA HII

Hii ni moja ya Live Performance ya Wimbo wa John Legenda wa All on Me ulioimbwa na Sam Mapenzi wa Skylight Band.
DSC_0151
Sam Mapenzi a.k.a Asali ya warembo akiimba kibao cha John Legend kinachobamba duniani kote kinachofahamika kama "All on Me" kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar!
Video ya Aneth Kushaba AK47 akiimba wimbo wa Pharrell unaoitwa Happy ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijni Dar.
DSC_0136
Aneth Kushaba AK 47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa na Madivas wenzake Winfrida Richard, Mary Lucos na Digna Mbepera kwenye show iliyowabamba mashabiki wa bendi hiyo baada ya kupewa Surprise ya nyimbo mbalimbali zinazobamba duniani kote.
DSC_0208
Baadhi ya Mashabiki wa Skylight Band wakiserebuki huku Aneth Kushaba AK47 akiwaimbia na kucheza nao.
DSC_0182
Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akisindikizwa na Digna Mbepera, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Wnfrida Richard.
DSC_0213
Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa na Digna Mbepera Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Video ya Hashim Donode na Winfrida Richard wakiimba wimbo unaobamba Afrika Mashariki na kati wa Wyre ft Alaine unaofahamika kama NAKUPENDA PIA.Enjoy the Video.
DSC_0218
Hashim Donode na Winfrida Richard wakiwa kwenye hisia kali wakiwapa raha za dunia mashabiki wa Skylight Band. Kulia ni mwanadada mrembo Digna Mbepera.
DSC_0222
Mashabiki wa Skylight Band wakipata raha za dunia ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0251
Kama Ijumaa palifurika hivi, Je Ijumaa ya Valentine's Day kwa wapendanao itakuwaje??? Njoo upate muziki wa kimahaba kwa ajili yako wewe na umpendaye kutoka kwa Skylight Band.
DSC_0268
DSC_0253
Full kujiachia Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa.
DSC_0292
Wema Sepetu na marafiki zake wajimwaga na burudani za Skylight Band.
DSC_0294
Aunty Ezekiel ndani ya nyumba.....Chezea Skylight Band wewee.....Balaaaa...!!!
DSC_0299
Pichani juu na chini ni baadhi ya mashabiki wa Star wa Bongo movie Wema Sepetu wakipata Ukodak nae.
DSC_0304
DSC_0309
DSC_0307
Mzee wa ATM (Kulia) aksihow love na tabasamu kubwa na Mlimbwende Wema Sepetu.
DSC_0313
DSC_0235
Kama CHEGE NA JULIO wanaikubali Skylight Band, Je Wewe unasubiri nini...???...Mshiriki wa Big Brother Stargame Julio Batalia akipata Ukodak na Msanii Chege Chigunda pamoja na mwanadada mrembo ndani ya kiota cha Thai Village jijini Dar.
DSC_0237
Chege Chigunda akishow love na Julio Batalia.
DSC_0240
Mdau Donny (kushoto) akipata Ukodak na swahiba wake.
DSC_0291
Wadau wa ukweli wa Skylight Band wakipata Ukodak.
DSC_0285
Next Post Previous Post
Bukobawadau