PICHA TATU MUHIMU KUTOKA KATIKA UKURASA WA MH EDWARD NGOYAI LOWASSA LEO.
Kwa siku ya leo Alhamisi feb 6,2014,Mh. Edward Ngoyai Lowassa kupitia ukurasa wake wa facebook ,kaweka pecha hii ambayo anaonekana yupo Mh.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,picha hiyo haina maelezo yoyote.
Picha mbili za mwisho kutoka katika ukurasa wa Mh. Edward Lowassa, moja ikionyesha tukio la nyuma na nyingine inaonyesha tukio la hivi karibuni, ingawa picha zote hazina maelezo.
Mpaka sasa ukurasa huo unajumla ya picha tatu,pamoja na hii ya Leo Feb,6,2014
NENO LA LEO KUTOKA KWAKE LINNASEMA; Matatizo hayatatuliwi kwa kunyoosheana vidole na kulaumiana bali kwa kuyajadili na kutafuta suluhisho. Muwe na wakati mwema.