Bukobawadau

KUTOKA KWA MDAU PRIVATUS MUTUNGI

Naitwa Privatus Mutungi, nawapongeza sana kwa kutoa habari za nyumbani na kutukumbusha mambo mengi yanayohusu bukoba na Kagera kwa ujumla. Nawaomba wadau wa habari na burudani kutumia blog hii kutangaza bihashara yao hata ikiwa ni ndogo.
 Hii itasaidia kukuza pato lao na kuimarisha bukobawadau,naamini kwamba mnajituma na kujitowa kadiri ya uwezo wenu ,sisi tulioko mikoa ya mbali inakuwa vigumu kupata habari za nyumbani zaidi utapata za hapa dar kutoka mpekuzi na nyinginezo. 
Watafuteni washirika hasa wafanya bihashara. Vinginevo mnafanya vizuri.Hongera sana.
Next Post Previous Post
Bukobawadau