Bukobawadau

TAASISI YA KUSAIDIA ELIMU YA (OPPORTUNITY EDUCATION FOUNDATION )YAZINDUA MATUMIZI YA TEKNOLOGIA YA TABLETI KATIKA SHULE YA JOSIAH GIRLS' HIGH SCHOOL LEO FEB 1,2014

Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts akikata utepe wakati wa Uzinduzi wa mpango wa matumizi ya Tableti uliofanyika Feb 1,2014 katika shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School iliyopo mjini Bukoba.
Mara baada ya kukata utepe  Bw.Joe Ricketts anaingia katika chumba maalumu chenye Tableti hizo.
Sehemu ya wafanyakazi na Wanahabari.
Wanaonekana baadhi ya Walimu na wafanyakazi wa shule ya Josiah Girls High School iliyopo mjini Bukoba wakifuatilia kinachoendelea.
 Hizi ni sehemu ya Tableti zilizopokelewa na uongozi wa Shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School kutoka kwa Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation
Tableti zipatazo 90 zimeweza kukabidhiwa leo Feb 1,2014 shuleni hapa.
 Bw. Joe Ricketts akiongea na Mkuu wa shule mara baada ya shughuli ya uzinduzi.
Bi Sandra mjumbe  wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Opportunity Education Foundation akitoa neno.
 Ndg Mbaki Mtahaba ambaye ni Mkurugenzi wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation ya marekani, hapa nchini.
 Wanafunzi wakitowa burudani.
Baadhi ya wanafunzi walioshiriki kutoa burudani wakijitambulisha
 Mzee Masabala na Mzee Rutabingwa sehemu ya Wajumbe wa  bodi ya shule wakifuatilia burudani inayotolewa na wanafunzi wa shule ya wasichana ya  Josiah Girls High School
 Walimu wa Shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School wakifuatilia burudani
 Mwakilishi kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Sehemu ya Wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School iliyopo mjini Bukoba.
 Mmoja kati ya walimu wa Shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School iliyopo mjini 
 Utaratibu ukiendelea.
Burudani mbalimbali kutoka kwa wanafunzi pamoja na ngoma ya asili
 Wadau wakifuatilia burudani inayo endelea
Hakika ni furaha kubwa kwa ugeni huu wa shule ya Wasichana ya Josiah Girls High School.
Sehemu ya waalikwa wakibadilishana mawazo.
Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts akionyesha zawadi waliyo pewa na uongozi wa shule hii.
 Wadau katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa taasisi ya kusaidia elimu ya Opportunity Education Foundation wa Marekani Bw. Joe Ricketts
Next Post Previous Post
Bukobawadau