USIKU WA MDAU ALBAN WENFUREBE NA ANITA GOSBERT
Matukio ya Harusi ya Mdau Bw.Alban Wenfurebe na Bi Anita Gosberth,harusi iliyofanyika mwishoni mwa juma lililopita katika ukumbi wa Water
Front Jijini Dar es Salaam,baada ya ndoa takatifu iliyofungwa katika kanisa la St. Martha
Mikocheni.
Mpambe wa Bwana Harusi kulia Mdau Eradius Gamarwa akisikilizia jambo.
Mpango wa mambo ya zawadi katika kudumisha mila na tamaduni za kabila la Wahaya
Bwana na Bibi harusi wakikata keki
Maharusi wakilishana keki
Bi Jovita Wenfurebe, dada wa Bwana Harusi katika utambulisho.
Bi harusi Bi Anita Gosbert akitoa tabasamu la nguvu na lenye furaha katika picha ya pamoja na wapambe wake kinyumbani tunawahita 'abashagazi'
Bibi Harusi wetu Bi Anita Gosbert.
Bibi harusi na wapambe wake.
Maharusi wakishow love mbele ya Camera yetu
Kwa kweli harusi hii ilifana sana, Bukobawadau tumshuhudia harusi nyingi sana lakini leo tunaujasiri wa kusema hii ilikuwa Bab kubwa