Bukobawadau

FULL TIME REAL MADRID 3-4 BARCELONA

Vuta nikuvute pichani anaonekana Mchezaji wa Real Madrid, Neymar akimfanyia ubabe kwa hasira kali mchezaji wa Barcelona Cesc Fabregas.
Leonel Messi ndiye aliye ipaisha  klabu yake ya Barcelona mara baada ya kuifungi magoli  matatu  na kuiweka timu yake katika nafasi nzuri
 Mchezaji wa Real Madrid Sergio Ramos anatolewa uwanjani kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Neymar ndani ya penati box
 Wachezaji wa Madrid Wa nyuma ni Sergio Ramos (nyuma) na  Ronaldo wakishangilia bao la tatu
  Mchezaji  Angel Di Maria wa Real Madrid pichani (kushoto) akijutia kitendo cha Lionel Messi kupata bao.
 Pamoja kuendelea kujiongezea idadi ya magoli,anaonekana kutokuwa na furaha kabisa Mchezaji Cristiano Ronaldo
 Man of the moment: Karim Benzema
 Neymar katika kuwajibika Uwanjani.
 Kushoto anaonekna Mchezaji Jordi Alba akiwa ameminywa .
 Majemedali wa Barcelona Xavi Hernandez na  kiungo mwenzake  Iniesta wakishangilia kichapo wanachotoa kwa Real Madrid
 Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi anafunga penati na  kusawazisha  3-3  Real Madrid .
 Mtiti hewani kati ya Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Benzema  na Javier Mascherano.


Next Post Previous Post
Bukobawadau