Bukobawadau

BUKOBA YETU LEO JUMATANO MARCHI 19,2014

Jengo la shule ya Msingi Rumuli Iliyopo Mjini Bukoba.
Rumuli shule ya Msingi ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.Wakati tunapata UHURU mwaka 1961, mkoa wa Kagera ulikuwa na magazeti matatu (3) ya Rumuli, Ijawebonele na Kagera Leo. Hadi kufikia Juni mwaka 2011 mkoa una jumla ya magazeti mawili (2) ambayo ni Rumuli na Ijawebonele. Magazeti mengine hupatikana kutoka nje ya mkoa wa Kagera.
Wanafunzi wakiwa nje ya shule.
 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Rumuli wakati wa mapumziko,Mkoani Kagera kumetokea mabadiliko makubwa katika sekta ya elimu ya msingi kuanzia uhuru wa nchi hii. Takwimu zilizopo zinaonesha kuwa mwaka 1975, kutokana na mpango wa Elimu kwa Wote (UPE) kulikuwa na shule za msingi 592 za serikali. Idadi ya shule imekuwa ikiongezeka na kufikia shule 619 mwaka 1985 na shule 677 mwaka 1990. Hadi kufikia mwaka mwaka 2011 kumekuwa na shule 1,050 zenye jumla ya wanafunzi 533,987 kati ya hawa 269,072 wasichana na 264,915 wavulana.
Muonekano wa sehemu ya nyuma  Kanisa la Katoliki jimbo la  Bukoba (kwa Kilatini Dioecesis BukobaĆ«nsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania.
 Eneo la Makazi , ndani ya kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba.
Nyumba zinazo milikiwa na Manispaa ya Mji wa Bukoba , zilizopo Miembeni.
 Hili ndilo gari la aina ya Hummer analotumia Mama Peter Mulima.
 Wadau pichani wakicheck na Camera yetu , yupo Mama Mk, Bi Patty Rosemary Visraam na Mama Nasor Sadru.
 Nje ya Uwanja wa Ndege anaonekana Bi Heda akiwa nashemeji yake Mdau George Lyakurwa.
 Mdau Denise akiagana na rafiki yake Bi Asimwe.
 Wadau wakishow love mbele ya Camera yetu.
 Kijana Fuady akichukua kasi kucheck in  kabla ndege haijaruka!
Mdau Thomas Charse pichani kulia akiwa amefika uwanja hapa kumuaga rafiki yake.
Mdau (Johney) John Katalaiya pichani katikati.
Mh. Mjuni Katalaiya katikati akiwa na Mkewe,kuchoto ni Mke wa mwanae.
Kaka yetu, Mwalimu Mjuni Joseph Katalaiya katika picha na mkwe wake
Mdau Fidelis Kaiza.
Anaitwa Jumbe (Mitumba)
 Camera yetu ndani ya Evody Furniture waliopo Barabara ya Arusha Mjini hapa.

Ndani ya Evody Furniture kwa mahitaji ya  furniture nzuri duka lipo  barabara ya Arusha karibu na KILOKIPI .... Opposite yake kuna duka lingine la furniture usawa wa kwa Rostamali nye ya Soko kuu Mjini hapa.
Kijana Evody Mkurugenzi wa Evody Furniture pichani kushoto na Kijana Izaack.
Kijana Evody na Mdau Jumbe pichani.Next Post Previous Post
Bukobawadau