Bukobawadau

MANCHESTER UNITED 0-3 MANCHESTER CITY

 MANCHESTER UNITED 0-3 MANCHESTER CITY shughuli ilikuwa pevu usiku wa leo kufuata  kazi kubwa ya mshambuliaji mwenye sifa ya kupenda safari  Edin Džeko,endelea kufuatilia kilio cha manchester United katika picha na kipande cha Video mwisho wa habari hii.
 Hekaheka za Edin Džeko na wenzake wakionyesha makali yao
 Edin Džeko na wachezaji wenzake wa Manchester City wakishangilia bao la kwanza lililopatikano mapema kabisa mnamo sekunde ya 43
 Mtiti uwanjani kama anavyo onekana Vincent Kompany wa Manchester City ,Phil Jones na Danny Welbeck wa Manchester United katika picha.
Mchezaji  Edin Džeko anaipatia Manchester City bao la pili dhidi ya Manchester United
  Dzeko akishangilia bao alilofungwa na  magoli l0 katika ligi  kwa msimu huu
 Nje ya mipaka ya Uwanja anaonekana  Rafael da Silva akiwa ameshika kichwa chake baada ya kuseleleka na kujigonga kwenye lami
Mchezaji wa Manchester United Juan Mata akijaribu langoni mwa Manchester City ni shuti kali lililozuiwa na  Pablo Zabaleta
 Majuto ni mjukuu ndivyo wanavyo onekana wakiwa na Nyuso za mashaka,hofu na wasiwasi pichani ni  Meneja wa Manchester United David Moyes (kushoto) pamoja na msaidizi wake Phil Neville
 Bosi wa Manchester United  David Moyes akitoa maelekezo butu kwa beki Rio Ferdinand
  Check Video ya goli la pili  lililofungwa na  Edin Dzeko usiku wa leo
Next Post Previous Post
Bukobawadau