Bukobawadau

PATA KUMSIKILIZA MSANII LIL-ASHY/YOUNG ASHRAAF KUPITIA 88.5 KASIBANTE FM RADIO

Siku ya Jumatatu Marchi 10,2014 msanii WETU hapa Nyumbani Bukoba mkali Lil-Ashy ama Young Ashraaf atakuwa 88.5 KASIBANTE FM RADIO kwenye THE SCORE kwa interview na kupresent wimbo wake mpya unaoitwa UJIO WANGU!Siku hiyo tunatarajia kusikia na kujua mengi kutoka kwake chini ya DJ slaY ,Hii Ni noumah!kuanzia saa 8 mchana hadi 10 Jioni.Binafsi Niko na mengi ya kumuuliza ila hata wewe ukiwa na lolote mcheki kwa namba zake+255652489500

DON'T MISS!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau