Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU GAUDENSIA LUGANGIRA YALIYOFANYIKA KIJIJINI RUZINGA JIONI YA LEO MARCHI 13,2014

Ilikuwa Siku ya Jumatatu Marchi 10, majira ya saa 3 usiku,Familia ya Mlangira Lukakingira wa Kijijini Ruzinga,tarafa ya Kiziba wilayani Missenyi ilipata pigo kwa kuondokewa na Mama yao Mpendwa Marehemu  Omwana Gaudensia Lugangira, huko Mkoani shinyanga alipokua akiendelea kwa Matibabu
 Leo hii Alhamisi Marchi 13, 2014,shughuli ya Mazishi yake imefanyika Nyumbani kwake Kijijini Ruzinga Kiziba wilayani Missenyi kama inavyo onekana Mwili wa Marehemu ukitolewa ndani na wajukuu tayari kwa  Ibada ya Mazishi yake
 Ibada ya Mazishi ikiendelea.
 Wachungaji wakiendelea kuongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Omwana Gaudensia Lugangira.
 Mzee Soter pichani .
 Ni taswira katika shughuli ya Mazishi ya Marehemu Gaudensia Lugangira,
Hakika watu wengi wameweza kushiriki katika shughuli hii.
Mchungaji akiongoza Ibada kwa Lugha ya Kihaya, utapata video yake hivi punde kupitia katika account yetu ya You tube.
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi KanalMstaafu (Mtaafu) Issa Njiku na kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza Valentine Mulowola
Viongozi wa Serikali, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga (kushoto)Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanal Mstaafu (Mtaafu) Issa Njiku na Kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Valentine Mulowola

Waombolezaji wakishiriki Ibada ya mazishi
Mama Kataruga, Mtoto wa Kike wa Marehemu Gaudensia Lugangira
 Dk Verusi Mboneko Kataruga akisoma Wasifu wa Marehemu Gaudensia Lugangira.
 Neno kutoka kwa msemaji mkuu wa familia.
Waombolezaji wakiwa kwenye majonzi mazito

Nyuso za simanzi na huzuni mkubwa kwa waombolezaji
Mtu na mambo yake  popote ndivyo anavyo onekana Mr Ben Mulokozi
Mdau Rahym Kabyemela,rafiki mkubwa wa familia .
 Sehemu ya Waombolezaji
Mdau Cathbert Angelo rafiki wa familia katika picha na Ben Kataruga
 Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanal Mstaafu (Mtaafu) Issa Njiku akiweka udongo Kaburini.
Picha za matukio zaidi zinapatikana  katika ukurasa wetu wa facebook.
 Ben akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Bibi yake.
 Shughuli ya mazishi ikiendelea.
Dk Verusi Mboneko Kataruga katika huzuni mkubwa wakati mazishi yakiendelea.
Anaonekana Adv. Kabakama pichani kulia.
 Kijana Bushira na Ndg Shafii kama kawaida wakishiriki kikamilifu katika zoezi linalo endelea.
 Utaratbu wa kuweka Mashada ya Maua katika kaburi la Marehemu uliongozwa na watoto wa Marehemu, pichani ni Ndg J. Mutashi.
 Fursa kwa mchungaji kuweka shada la maua, kabla ya kufuatiwa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.
Pembeni  ni umati wa wanamama  wakati shughuli ya mazishi ikiendelea. 
 Mazishi yakiendelea.
Baada ya watoto wa Marehemu, sasa ni zamu ya Wajukuu kuweka mashada.
 Mdau Ben Kataruku, ambaye ni Mjukuu wa Marehemu Owana Gaudensia Lugangira,mara baada ya kuweka shada la maua kaburini.
 Sehemu ya wajukuu wakiendelea na utaratibu wa kuweka mashada kaburini.
 Marafiki wa familia wakiwa kwenye majonzi wakati shughuli inaendelea.
 Utapata fursa ya kuona baadhi ya vipande vya Video kupitia hapa Bukobawadau Blog,Juu ya habari hii au kupitia katika account yetu ya You tube.
 Hivi ndivyo ilivyokuwa katika zoezi la kuweka mashaba kwenye kaburi la Marehemu Omwana Gaudensia Lugangira.
Muongozaji wa shughuli ya Mazishi haya akiendelea kutoa utaratibu wa kuweka mashada
 Mlangira Alikadi akiweka shada la Maua kaburini.
Wajuu wa Marehemu Omwana Gaudensia Lugangira,katika kaburi la Bibi yao.
Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanal Mstaafu (Mtaafu) Issa Njiku
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga  akitoa neno.
 Kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Valentine Mulowola
 Kwa niaba yake Mwenyewe  na familia yake Kamanda wa polisi mkoani Mwanza, Valentine Mulowola akakabidhi rambirambi pia kaniaba ya Ofisi yake.
 Mwakilishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
 Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Kagera, Hamimu Mahamud Omary akitoa rambirambi kwa niaba ya Chama.
Ndugu  Hamimu Mahamud,Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Kagera akikabidhi ubani kwa Ndg J. Mutashi
 Neno kutoka kwa Mwakilishi wa Kanisa la EAGT la Jijini Mwanza.
 Mchungaji wa Kanisa EAGT  Mwanza, kanisa analosali Ndg Ndg J. Mutashi
Ndg J. Mutashi ambaye ni Mtoto Mkubwa wa Marehemu Gaudensia Rugangira akitoa neno la shukrani
Eneo la mahegesho.
 Baada ya Mazishi , anaonekana Ndg Al Amin Abdul akiagana na  swahiba wake na kumtaka utaratibu wa upokeaji wa kile kitogo alicho kuja nacho.
 Mdau Al Amini  mwenye nasaba na Mmoja wa mjukuu wa Marehemu Omwana Gaudensia Rugangira.
 Al Amini na gunia la Mchele begani.
 Wajukuu wa Marehemu wakiendelea na Burudani kama ilivyo kawaida katika maswala ya kimila.
 Burudani ya ngoma ikiendelea.
Picha ya Mdau Ben Mulokozi na wazee wa Kijijini hapa.
Ben Kataruga katika picha na Mama Focas Lutinwa mara baada ya shughuli ya mazishi.
 Ben Kataruga na Mzee Sotar ambaye ni Baba Mkwe wake.
RMK pichani kushoto akiwa na Swahiba  Ben Mulokozi.
Huduma safi ya chakula kilicho andaliwa na Kampuni ya Mama Hachi wa Mjini Bukoba.
 MATUKIO YA PICHA ZAIDI YA 200 YANAPATIKA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOO,WAWEZA KUJIUNGA NASI KWA KUTAFUNA NENO (Bukobawadau Entertainment Media)

HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA SAFARI YA MWISHO YA MAISHA YA MAREHEMU GAUDENSIA LUGANGIRA,BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA WOTE, APUMZIKE KWA AMANI BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA WOTE, APUMZIKE KWA AMANI OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA , AMEN
Next Post Previous Post
Bukobawadau