Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA WA KIJIJINI RUZINGA

Omulangira Ben Kataruga wa Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Bibi yake, Omwana Gaudencia Rugangila, kilichotokea usiku wa Jana Marchi 10,2014.Habari ziwafikie viongozi wa kiroho , Ndugu jamaa na marafiki . Mazishi yatafanyika siku ya Alhamisi  Marchi 13,2014 Nyumbani kwa Marehemu Kijijini Ruzinga,tarafa ya Kiziba wilayani Missenyi,Bwana ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe Amen!
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA WOTE, APUMZIKE KWA AMANI OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau