Bukobawadau

VIDEO/PICHA YALIYOJILI NDANI YA MAISHA CLUB KWA JUMA HILI (MAMBO YA KIBAO KATA)

Kila siku ya jumatano New maisha club imekuwa na utaratibu mpya kabisa waburudani ya kipekee kabisa, baada ya ile ya xtreme deejazy yakupiga disco na drums ambayo ndio burudani namba moja kwa sasa tanzania,  sasa inakuletea bunyero bunyero za kibao kata kiukweli hii ndio club pekee inayofanya mabadiliko ya club na hata burudani zake kila mwaka.aidia hii ya kibao kata walioipa jina ya bunyero bunyero za kibao kata imekuwa na wapenzi wengi sana na imekubalika kwa haraka sana hivyo mpaka baadhi ya sehemu zingine za kumbi za burudani nao kuonekana kuanza kuiga kutaka na kufanya kitu kama icho
check video hapa chini.

watu wakijidabua kwenye kibao kata
 Shughuli ilikuwa noma sana kwakweli usikose jumatano hii.
Mwanadada  Boke akifatilia kwa makini kibao kata.


 TEAM CRAYZE nao walikuwepo full kujidabua
 Mwanzo mwisho ,kwa siku nzima ni  muziki wa taarabu,mduara,arabik na miziki ya kimwambao tu

 Rihama ally nae alikuwepo pia alitoa yake ya moyoni kuhusu wote wanaodhania kwamba kibao kata ni uhuni, aliwapa ukweli na kuwaambia kuwa huu ndo mziki wetu na kiuno ndio hasili yetu,wacheni tukatikee
 Credit kwao uongozi wa new maisha club kwa kubuni vitu vya kwetukwetu.
 Mchina aliyejulikana kwa jina moja la dong akijidapua na kabinti special kwenye kibao kata......
Next Post Previous Post
Bukobawadau