Bukobawadau

WADAU USO KWA USO NA CAMERA YETU MARCHI, 2014

Ni siku nyingine tena Mwanalibeneke  nakutana uso kwa uso na wadau wakibadilishana mawazo na kufurahi kwa pamoja, kwa ufupi falsafa yetu kupitia picha ni kukupatia furaha ya kuangalia furaha kwa wengine.
 Sehemu ya Wadau wakiwa wamejumuhika kwa furaha katika meza moja.
Adv. Kabakama akibadilishana Mawazo na Ndg Ben Kataruga (kushoto) katikati ni Ndg Bushira
 Maneno ya kufurahisha yakiendelea kutoka  kwa Adv. Kabakama
 Ndg Ben Kataruga akishindwa kujizuia kwa kicheko kutokana na maneno yakufurahisha  kutoka kwa Adv. Kabakama wa GRK Advocates.
Hivi ndivyo wadau walivyonyanyuka kumraki Ndugu Ben Mulokozi,hii ni katika kutambua uwepo wake kwa jioni hii
 Mdau Ben Kataruga akiwa amebaki mezani.
Bwana Shafih pichani kulia  akitoa utambulisho kwa Ndg Ben Mulokozi.
Ndg Katumwa akisalimiana na Ndg Ben Mulokozi, baada ya utambulisho kutoka kwa Shafih.
 Baada ya kutambua uwepo wa Ben Mulokozi, wadau wanaendelea na kupendeza
Bukobawadau Blog tukiendelea kukupa picha namna wadau walivyo jumuhika na kufurahi kwa pamoja,Ni furaha kuangalia furaha ya mtu mwingine!!
Mwenye suti ni Mdau Thomas Charles katika picha ya kumbukumbu  na Mr appetizer
Katika picha ya kumbukumbu, Ndg Ben Kataruga na Adv. Kabakama.
Ndg Shafih na Mdau Bushira hii ni moja ya picha yao ya kumbukumbu.
Muonekano nadhifu wa Ndg Thomas Charles.
Mr Ben Kataruga katika picha ya kumbukumbu na Mr Katumwa.
Adv. James Kabakama na Ndg Basibila katika picha ya kumbukumbu.

Next Post Previous Post
Bukobawadau