Bukobawadau

BREAKING NEWS;MH.MATETE HAKIMU WA WILAYA KARAGWE AANDIKA BARUA YA KUACHA KAZI

Ndugu Peter Matete ameamua kumwandikia mwajiri wake barua ya masaa 24 kuwa ameamua kuacha kazi,
Hii ndiyo barua aliyoandika hakimu wa wilaya ya Karagwe Peter Matete ya saa 24 kwa mwajiri akitaka kuacha kazi, Chanzo kilichopelekea Mh. Matete kufanya hivyo ni kama maelezo yanavyo jionyesha katika barua yake.

Next Post Previous Post
Bukobawadau