CAMERA YETU MJINI BUKOBA LEO ALHAMISI APRILI 10,2014
Taswira mbalimbali na Camera yetu mapema ya leo mjini hapa, Pichana kulia ni Mkurugenzi wa
Sheria na utawala Shirikisho la soka nchini TFF Ndugu Mdau Evodius akiteta jambo na Rais wa Balimi FC Mdau Al Amin Abdul Amini pichani kushoto muda mchache baada ya Ndugu Evodius Mtawala kuwasili mjini hapa akiwa ameongoza na Rais wa TFF,Mh.Jamal Malinzi.
Rais wa TFF Mheshimiwa Jamal Malinzi akisalimiana na Ndugu William Kiroyera mara tu Mh. Malinzi alipowasili uwanja wa Ndege Mjini hapa.
J&J,Mh.Jamal Malinzi Rais wa TFF akiteta Jambo na Mdau Jamal (Jamco)Kalumuna wa Jamco Production & Jamco BLOG.
Kwa bashasha na mahaba mazito wakisaliana Rais wa TFF na Rais wa Balimi FC.
Rais wa Balimi FC Mdau Al Amin Abdul katika piicha ya pamoja na Rais wa TFF Mh Jamal Malinzi
Wadau wakibadilishana mawazo
Wadau wa Soka wakiteta na Mh. Jamal Malinzi, kuliani Mdau Didas Zimbihile Mjumbe- Mwakilishi wa Vilabu.
Katikati ya Viunga vya Mji wa Bukoba,wadau wakicheck na Camera yetu.
Mbele ya Camera yetu ni Kaka Mkuu E. Nymbo na Kijana mpambanaji Eugen Kabendera
Muonekano wa Nyumba, Kanisa Kuu Jimbo Katoliki la Bukoba (kwa Kilatini Dioecesis Bukobaƫnsis) mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania
Mdau Kamugisha Kamugisha Marchior Z akicheck na Camera yetu.
Ndugu A. Rutayuga (kushoto) ambaye ni Mjumbe wa kamati Tendaji ya KRFA , Mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF na Mshauri Mkuu wa Kiufundi TFF makao makuu katika picha na Jamal Kalumuna(Jamco)
Jioni ya leo baada ya muda wa kazi, watau wakirejea majumbani mwao.
Hekaheka za wadau katika barabara ya Zam zam Ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Mdau Theo Martin shop manager ndani ya Sadath Boutique.
Swagger za Vijana wamjini ndani ya Sadath Boutique.
Sadath Boutique ni duka lenye kukidhi mahitaji mbalimbali ya wanaume na wanawake,Mpango mzim ni kwa wale wapenzi na wavaaji wa skin jeans,top dress na skirts,habari kamili iko poa ndani ya Sadath Boutique.