FULL TIME:Paris Saint-Germain vs Chelsea-PSG 3-1 CHELSEA
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho akipima upepo ndani ya Uwanja Parc des usiku wa leo.
PSG wanapata bao la kwanza kupitia kwa mchezaji Ezequiel Lavezzi pichani (katikati) .
Pichani kushoto ni kochwa wa zamani wa Chelsea,Meneja wa timu ya taifa Brazil Luiz Felipe Scolari
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy pichani (kushoto)akifurahia soka.
Hekaheka uwanjani.
Thiago Silva anamchezea vibaya Oscar na kusababisha penati
Bao la kusawazisha la timu ya Chelsea limepatikana kwa njia ya Penati iliyofungwa na mchezaji Eden Hazard.
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kusawazisha bao dhidi ya PSG
Taswira uwanjani wakati mchezaji wa PSG,Zlatan Ibrahimovic anaonyesha ukanjanja kwa kutumia kiwiko na kumuumiza John Terry sehemu ya kichwa.
Kocha wa Chelsea ,Jose Mourinho katika hali ya sintofahamu.
Mchezaji David Luiz (kulia) anapoteza malengo na kujifunga mwenyewe PSG 2-1 Chelsea
Haikuwa fauru wakati Mchezaji wa PSG Edinson Cavani (katikati) anaangushwa na Gary Cahill ndani ya bokisi langoni mwa chelsea.
Anaonyesha dalili za maumivu mchezaji Zlatan Ibrahimovic wa Paris Saint Germain
Wachezaji wa PSG na kocha wakati Zlatan Ibrahimovic (katikati) akitoka nje ya uwanja.