Bukobawadau

TASWIRA MJINI BUKOBA LEO JUMATANO APRILI 16,2014

 Taswira mbalimbali viunga vya mji wa Bukoba leo Jumatano Aprili 16,2014
 Hekaheka za wadau katika utayari wakuyakabili majukumu na changamoto za maisha
 Vijana Wajasiliamali maarufu kwa jina la ASSECDO kama walivyokutwa na Camera yetu.
Jengo jipya lililopewa jina la Bugabo House.
 Mdau Edgar katika pitapita zake mtaani.
 Jaffery shule ya Sekondari iliyopo katikati ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
 Fundi Ashraf mbele ya Camera yetu
Wanaonekana wadau katika harakati za kulinufaisha taifa pasipo  kutetereka katika kuyakabili majukumu yao
 Haki Street Bukoba, maarufu kama mtaa wa One way.
 Rutinwa House.
 Jengo la CRDB Bank Tawi la Bukoba
Hivi ndivyo inavyo onekana barabara  Kashozi
 Makutano ya barabara ya Jamhuri na Kashozi
Kwa mbele ni  Jengo la Rwabizi Plaza
 Mtaa ya Soko kuu mjini hapa
 Barabara ya Zamzam.
Hekaheka za wadau mtaa wa Zamzam mjini hapa.
Muonekano wa barabara ya Arusha mjini hapa.


Next Post Previous Post
Bukobawadau