BALOZI KAMALA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI TANZANIA
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani)
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam
Koeler baada ya kumaliza kikao kuandaa ziara ya wadau wa miundombinu ya
sekta za bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe
19 - 23 Mei, 2014. Kikao kimefanyika leo Dar es salaam nyumbani kwa
Balozi wa Ubelgiji Tanzania