Bukobawadau

HII TUKUTANA NAYO MAHALA

Phonebook ya Mchaga
1.Massawe Muuza pumba     2.lyimo wa vifaranga
3.Shirima dk mifugo       4.Tairo duka la jumla
5.kimario wa Bia za magendo6.Mushi mchoma nyama
7.Uiso wa pikapu ya ndizi          8.Ngowi wa chakula cha Nguruwe
9.Mramba kitimoto       10.Massawe bucha la jirani
 
 Phonebook ya Wazaramo
1.Mwajuma msasambuaji    2Maimuna Msutaji
3.Amina Muuza Shanga     4.Mariam wa Kichen part
5.Hadija mchora Hina    6.Dullah Dj vigodoro
7.Issa Ndambi Mpishi wa hitma    8.Rama Mganga wa Mapenzi
9.Sudi mpiga ngoma mbagala    10.Rashidi mtabiri nyota Msang
 Phonebook ya wahaya
1. Prof Rweyemamu wa BOT      2. Mr Rugashumba msaidizi wa raisi sera na mipango
3. Padre Katabaro wa parokia ya Kamachumu         4. Mr. Rwelengera afisa biashara ATC
5. Kaijage mwalimu MUHIMBILI        6. Mr. Rwechungura wa WORLD BANK
7. Birungi mkaguzi wa mahesabu PWC     8. Mama Ndyetabura wa UNDP
9. Shubi mkurugenzi TAKUKURU    10. Kisiraga muhasibu mkuu UDSM
 
Next Post Previous Post
Bukobawadau