Bukobawadau

MKUTANO MKUU WA KCU(1990) LTD MAY 6,2014

Mwenyekiti  wa Bodi ya KCU (1990)LTD John Binushu akifungua mkutano huo rasmi.
Mrajis wa Vyama vya Ushirika Kagera
 Mgeni Rasmi
Mjumbe akitoa utambulisho
Mkuu wa Wilaya ya  Bukoba Mheshimiwa Zipporah Pangani
Pamoja na juhudi zote zinazofanywa na uongozi wa juu wa chama cha msingi Mkoa wa Kagera  kwa kushirikiana na wanachama wa zao la kahwa mkoani humo zinapigwa vita na baadhi ya watu wachache ambao kwa namna moja ama nyingine hawawatakii mema wakulima na familia zao  ambao wanategemea zao la kahawa  kiuchumi.
 Kumekuwepo na  upotoshaji wa makusudi hasa katika kutaka kufitinisha wakulima ambao wana imani na viongozi wao kuanzia ngazi ya chama cha msingi hadi chama kikuu cha ushirika (KCU 1990 Ltd)
Sehemu ya Waalikwa Ukumbini.
 Mjumbe wa bodi ya KCU,pichani Mzee Baruti
 Mmoja wa Waalikwa akitoa utambulisho kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa KCU (1990)
 Ndugu Rwechungura Novatus Nkwama
Meneja bodi ya cha kikuu cha ushirika mkoa wa Kagera KCU (1990),Vedasto Ngaiza akitoa ufafanuzi kuhusu yatokano na mkutano mkuu uliopita
 Mhasibu Mkuu
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Kagera KCU(1990) LTD
 Sehemu ya wanahabari
 Mwenyekiti wa KCU (1990)LTD akiendelea kuongoza Mkutano huo
 Wajumbe.
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wanaowawakilisha wakulima.Tukio la Mjumbe kutoka Kamachumu aliyetolewa nje katika Mkutano Mkuu uliopita limetolewa ufafanuzi.

 Mpaka Sasa chama kikuu cha Ushirika Mkoani Kagera KCU si  kwamba kinategemewa na wakulima pekee yake bali pia watu wengine wakiwepo wataalam waajiliwa kuanzia madereva, wafanyakazi wa maofisini, wataalam washauri, n.k
  RIPOTI KAMILI INAKUFIA HIVI PUNDE....
PITIA MFULULIZO WA VIDEO MKUTANO HUU JUU MWANZONI MWA HABARI ZETU!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau