Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SIRAJI ISACK MUGALULA JIONI YA LEO JUMANNE MAY 13,2014

Pichani anaonekana Bi Jamila Isack Mugulala akiwa  katika majonzi ya kuondokewa Mdogo wake mpenzi Marehemu Siraji Isack Mugalula.
Pichani ni Kaka wakubwa wa Marehem Siraji Isack, kushoto ni Mdau Idrisa Isack Mugalula na Amini Isack Mugalula.
 Ndugu Byamungu pichani kushoto katika kumfariji Ndugu Thomas Charles rafiki Mkubwa wa Marehemu Siraji
 Mdau George Lyakurwa na Mdau  Amani pichani.
 Mzee Ziadi Mugaluba,Baba mkubwa wa Marehemu Siraji Isack  Mugalula
Mrs Victor CRDB
 Mdau Mama Stella pichani.
 Katikati anaonekana Mama Rugusha.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Siraji Isack Mugalula likiwekwa sawa tayari kwa kusaliwa na zoezi la kutoa Heshima za Mwisho
 Haruna Goronga na Samuel Lugemalila
 Mbele ya Camera , haya na mengineo katika shughuli ya Mazishi ya Marehemu Siraji Isack
 Kushoto ni mdau Ave Tibaigana
 Mzee Emiry Baruti pichani kushoto
Sehemu ya waombolezaji
Pichani anaonekana Ndugu Badru Kichwabuta,Mzee Raphael (Mlangir), Mdau Optay Henry (katibu)na Samola Lyakurwa.
 Mdau Thomas wakati Ibada ya Mazishi ikiendelea.
 Zoezi la kutoa Heshima za Mwisho
 Heshima za mwisho zikiendelea kutolewa.
 Fr. Mpambo akiongoza Ibada ya Mazishi ya Marehemu Siraji Isack yaliyofanyika jioni ya leo Jumanne May 13,2014  Kijijini Ibura, nje kidogo ya Mji wa Bukoba.
Sehemu ya Waombolezaji .
Mdau Poroje pichani.
 Mdau Bube akiwa kabeba Msalaba.
 SIMANZI, huzuni mkubwa kwa marafiki wa Marehemu Siraji Isack Mugalula
 "Uu mavumbi wewe na mavumbini utarudi"
 Ndugu Amini Isack,Kaka wa Marehemu Siraji Isack Mugalula akiweka udongo kaburini.
 Taswira shughuli ya mazishi ya Marehemu Siraji ikiendelea.
 Mlangira Mzee Emmanuel akiweka udongo kaburini
 Mlangira Mzee Raphael akiongoza  nyimbo za mapambio ya wakati mazishi yakiendelea
 Mdau Mama Phild(Ma Liyoba) pichani.
 Bi Jamila Isack Mugalula
 Mdau Mzee Scander Visram na wadau wengine wakiendelea kuweka udongo udongo kaburini.
Mwanadada Vanny wa Vannessa akiweka udongo kaburini
 Mazishi ya Marehemu Siraji Isaack yakiendelea
Mdau Basibila na Mdau 'Uwe mpole' pichani kulia wakiweka udongo kaburini
 Anaonekana Bi Maisala Abdulziad Kashinde.
 Dada Jamila Isack akiweka udogo kaburini.
 Sauti za nyimbo za mapambio zikiendelea wakati wa shughuli ya mazishi ya marehemu Siraji.
 Mdau Amis Umande Chama Batalingaya.
Sehemu ya wadau wakiweka udongo kaburini.
 Katikati ni Mdau Idrisa Isack Mugalula,yeye ni kaka wa marehemu Siraji Isack Mugalula.
 Mr. Byamungu na Mr Bube maswahiba wa Marehemu Siraji Isaack Mugalula
 Mzee Yusuph Mbaga, na Beneth pichani kulia
 Ndugu na marafiki waliohudhuria mazishi ya Marehemu Siraji Isack
Shughuli ya Mazishi ikiendea
Mdau Mgisha rarafiki wa Marehemu Siraji,kutoka Arusha.
 Neno la shukrani kutoka kwa Samuel Lugemalila
 Mdau Amini Isack Kaka mkubwa wa Marehemu Siraji Isack akitoa neno la shukrani kwa niaba ya familia. 
 Kutoka Kushoto ni Mdau Thomas,Samuel, George, Amini na Mr Basibila.
Mwanadada Lorraine Nancy Mollen baada ya kuhudhuria mazishi ya Marehemu Siraj Isack.
 Taswira barabara kuu kuelekea Kemondo,haya ni maeneo ya Kijijini Ibura.
 Nyumbani Kijijini Ibura, yalipofanyika maziko ya Marehemu Siraji Isack, jioni ya leo.
 Mdau Thomas akiendelea kumlilia rafiki wake mpendwa, wakati shughuli ya mazishi inaendelea
 Msiba unaendelea  nyumbani kwa wafiwa Miembeni Bukoba
 Nyumbani kwa wafiwa kwa Bi Jamila Isack msiba ukiendelea
 Kulia ni Mdau Rackson Kahabuka akiendela kuwafariji wafiwa , nyumbani kwao Miembeni.
 Kushoto ni Mohamed Kikwemu akiendelea kupata mulo, kulia ni Ndugu Amini Isack.
 Mdau Optay Henry .
 Mdau Lihad.
Jukumu la kuukabili msoso likiendelea.


Next Post Previous Post
Bukobawadau