Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA MAREHEMU SIRAJI ISACK MUGALULA (CONTINENTAL)

Bukobawadau Blog tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha rafiki yetu mpendwa Marehemu Siraji Isack Mugalula kilichotokea ghafla jioni ya leo Jumapili May 11,2014 katika hospitali ya Mkoa.  Taarifa za awali zinasema mipango ya mazishi bado inaendelea
 R.I.P Siraji.We love u but God loved u more!!
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau