Bukobawadau

YALIYOJILI KIJIJINI KAMACHUMU HARUSI YA MODY SALUM (ORGANIZER) AL-SAQRY

 Ni mapema ya Jumamosi Asubuhi,Camera yetu ikiwa tayari imejipanga kwa ajili ya tukio la shughuli ya Harusi ya Mdau Mody Salum (Mawingo) Al Saqry huko Kijijini Kamachumu
Kama ilivyo zoeleka na kuwa sehemu muhimu ya watu na ukizingatia tupo Kamachumu  Mji wenye Asili ya Waarabu, Wadau Asubuhi wanapata Kahawa na halua kwa ajili ya kupata wepesi.
 Wadau wanapata chai na aina mbalimbali za Vitafunwa angalau na kokwa tatu za tende.
 Mdau Yusuph Wastara na Jamal Jamco Kalumuna nao wakiendelea kupata Chai kwa aina  ya virutubisho wanavyoitaji.
 Katika maandalizi ya kuwapokea wageni
 Wageni wakiendelea kufika.
 Familia husiki na familia nyingene zilizo kubaliana kwa ajili ya kuwapokea wageni.
 Wageni kutoka sehemu mbalimbali
 Wageni karibuni harusini, ni shughuli ya Mdau Mody Mtoto wa Sakum Mawingo.
 Waswahili husema shughuli ni watu ,Ndivyo inavyokuwa katika shughuli kama hizi
 Sheikh Kakwekwe akimpokea Mzee Sudi Fresh , kushoto ni Haji Kamugunda.
Anaonekana Ustaadh Aziz Remdin (Kati) akiteta jambo na Mzee Salum.
 Wadau pichani Bwn. Murtaza,katikati ni UstadhTawfiq na Sajad Bandari.
 Sehemu ya Wadau Ukumbini
Mama Mody katika furaha ya Harusi ya mwanae aliyemnyonyesha maziwa yake mwenyewe..!
Tayari mambo yanapendeza Ukumbini
 Sehemu ya Wadau katika hili na lile..
 Ushauri kwa akina dada na wanawake in general "hivi ndivyo inavyo stahili"
Muonekano safi wanawake walivyojitanda!
 Taswira ukumbini Sehemu ya Wanawake
 Adv Rweyemamu akiteta jambo na Mzee Abdallah King, kulia ni Mdau Mr. Msafiri
 Anaonekana Mdau Taimuri Karama na wadau wengineo.
 Haji Amir  Hamza.
Anawasili Sheikh Mustaphar ukumbini.
 Dua ya ufunguzi wa Shughuli ya Harusi ya Mody Salum ikiongozwa na Sheikh Mustaphar.
 Kushoto ni Dada Mdogo wa Mzee Salum akiwa na Wifi yake Mama Mody pichani kulia
 Shughuli ikiwa inaendelea.
Hii ni kati ya yale machache yaliyojiri katika harusi ya Bw. Mody Salum na Bi Bilkas.
 Madarasa ikitumbuiza.
Bwana Harusi wetu Bwana Mody  na Bi Harusi Bi Bilkas ukumbini
Muonekano wa Bi harusi  hakika amependeza ,amepambwa vizuri ,na kuonyesha utulivu kwenye tukio zima kwa100%, Hongera sana Mody hongera Bilkas ,hakika mwanamke ni Haiba.!!
 Muonekano wa Bwana harusi, Bw. Mody Salum.
Mh. Mbunge, Balozi Hamis Kagasheki.
 Bwana Mody katika picha na Sheikh Mustapha
Baba Mzee akitoa  neno kitogo, kulia ni Haji Kazinja  rafiki mkubwa wa Mzee Salum Organizer
 Tunacho kishuhudia ni  tukiola Baba Mzazi akitoa nasaha zake.
 Neno kutoka kwa Haji Kamugunda.
  Kwa wakati wote kwa jumla wageni waliweza kupata huduma ya Chakula
Swala zima la msosi.
Jikoni Shughuli ilikuwa hivi.
Huduma ya Msosi mwanzo mwisho.
Katika picha ya kumbukumbu na familia ya Haji Gulam Rostamali.
 Sehemu ya picha ya kumbukumbu,picha zaidi zinapatikana katika ukurasa wetu wa facebook.
 Wadau mbele ya Camera yetu.
 Muonekano wa Bi Harusi
 Bibi Self  Kabindi Kama Sikosei  anaonekana akipewa ushirikiano na Mzee Salum.
Inshallah Mwenyezi mungu atawajalia na Awape dhuriyt swalhin!!!
Bukobawadau Blog tunawaombea Maulana awajalie kizazi bora pia awajalie kheri na salama katakandoa yenu!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau