SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

11 June 2014

BARAZA LA WAFANYAKAZI TEWW

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera akifafanua jambo wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima  uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro, (wa pili Kulia)  ni  Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Bw. Fedelis Mafumiko na (wa kwanza kulia) ni Naibu Mkurugenzi Taaluma, Bw. Welberforce Meena (Kushoto) ni  Naibu Mkurugenzi Fedha na Utawala Bw.Edward Lugakingira.

Baadhi ya Watumishi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (hayupo pichani) akifafanua jambo wakati alipofungua Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro.

Mwenyekiti wa Baraza la Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima , Bw.Edward Lugakingira akifafanua umuhimu wa Baraza hilo, (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (wa pili kulia ni ) Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Bw.Fedelis Mafumiko na (wa kwanza kulia) ni Naibu Mkurugenzi Taaluma Bw. Welberforce Meena, wakati wa Mkutano wa Saba wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro.


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh. Joel Bendera (waliokaa watatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima mara baada ya kufungua mkutano huo  uliofanyika katika Ukumbi wa WAMO Mjini Morogoro.

1 comment:

Anonymous said...

So pround of you big brother Edward.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU