Bukobawadau

BIRTHDAY PARTY YA MTOTO JOEY RUGEMALIRA



Tarehe 06/06/ ndio ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Mtoto Joey pichani, Mtoto wa Mdau Jerome Rugemalira  na Mkewe Imelda Rugemalira
Sehemu ya watoto wakisherekea katika Birthday ya  mwenzao.
Ni Sherehe  iliyofana sana ambapo watoto walifurahi kwa pamoja kwa kuimba na kucheza michezo mbalimbali ikiwa ni katika hali ya kunogesha sherehe ya kuzaliwa ya Mtoto Joey wa Jerome.
Mrs Jerome  Rugemalira
 Sherehe hiyo iliudhuriwa na watu mbali mbali huku mtoto Joey akisindikizwa na Bibi yake ,yaani mama Mzazi wa Mdau Jerome ,Bi Bernadetha Rugemalira pichani
Sherehe ya kusherehekea birthday ya mtoto Joey  kutimiza miaka 8
Matukio ya hapa na pale
 Mtoto akimlisha keki mmoja wa wadau walioshiriki
 Mdau Jorome na Ndugu Joey
Watoto wakiimba nyimbo ya BirthdayWatoto wakiimba nyimbo ya Birthday 

 Wakipata mulo na kubadilishana mawazo
 Watoto wakifurahia msosi
 Bi Evely Rugemalira
 Zawadi mbalimbali zikitolewa kwa Mtoto Joey
Mr & Mrs Jerome katika mapenzi makubwa ya Birthday Boy, mwanao (Joey)
Next Post Previous Post
Bukobawadau