Bukobawadau

KUTOKA KWA LADY JAY DEE aka ANACONDA

Lady Jaydee;Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu.
 Hicho ndicho alichokiandika Msanii Lady Jay Dee kupitia ukurasa wake wa Facebook
Next Post Previous Post
Bukobawadau