Bukobawadau

MJINI BUKOBA LEO IJUMAA JUNE 13,2014

Mdau Alex wa Bukoba Mjini akipata Unicon wa Bukobawadau, wakati akipata upepo mwanana wa Ziwa Victoria akiwa katika viwanja vya Gymkhana Bukoba Club.
 Mdau Grace Rwihula anajikuta  katika Camera yetu  wakati alipokuwa akipata upepo mwanana ndani ya Viwanja tulivu vya Bukoba Club
 Tupo bado katika viwanja vya Gymkhana Bukoba Club, nakutana na Mdau Nicko na mwenzake.
Mdau ni mwana wa Abbas Kutoka pande za Kemondo Bay
  Camera yetu viwanja vya Gymkhana Bukoba Club, inakutana na Mdau Dr. Mabimbi
 Mr.Valerian Rugalabamu Mkurugenzi Vision Fm Radio Bukoba
  Mkurugenzi Vision Fm Radio Bukoba,Mr.Valerian Rugalabamu akisalimiana na Mdau. 
 Katika hali ya kusikilizana wanaonekana wakibadilishana mawazo
 Moja kwa moja kutoka usawa waViwanja vya Gymkhana , Mjini hapa kinaonekana Kisiwa cha Musila kwa mbele.
Taswira Viwanja vya Bukoba Club , Mapema ya leo.
Hakika BUKOBA ni mji mzuri wa kuwekeza kiutalii
  Picha ya Juu maeneo ya Kifungwa ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba
 Maeneo ya Juu   yanaitwa Kibeta / Anyama
Kisiwa cha Musila moja ya kivutio kikubwa katika Mkoa wa Kagera unapatikana kaskazini magharibi mwa nchi ya Tanzania kisiwa hiki kipo makao makuu ya mkoa ndani ya mji wa Bukoba
Muonekano wa Sehemu ya Nyuma  Kisiwa cha Musila
 Round about mjini Bukoba  maeneo ya Ujirani mwema .
 Hii ni picha maalum kutoka maktaba, picha inaonyesha eneo sawa na picha iliyopo hapo juu ni muonekano  Mjini Bukoba  mwaka 1972.
 Muonekano wa mji wa Bukoba kwa siku ya leo Ijumaa June 13,2014

Duka la mapochopocho lililopo nje ya Soko kuu Mjini Bukoba
 Maeneo ya Soko kuu.
 Mdau Al Amin Abdul pichani kushoto na Mh. Waziri diwani kata ya Ibwera.
Mc Jerry akisalimia na wadau mara alipofika katika baraza, Uswahili Bilele.
Anaitwa Raufa Abasi akicheck na Camera yetu
 Kijana Dullah Urembo  na mwenzake kama walivyokutwa na Camera yetu.
 Ndugu Abdallah akipata msosi ndani ya hotel ya Manyema.
 Manyema Cafe kwa Mh. Diwani Ibrahim Mabrouk.
 Msosi ndani ya Manyema Cafe.
Kutoka nchini Uturuki pichani kushoto ni Mr Mohamed akipata mulo ndani ya Manyema Cafe.
 Barabara ya Rwamugira iliyopo Mitaa ya Uswahili Bilele.


 Mic Cumputer wanapatikani mtaa wa Uswahili Bilele jirani kabisa na Manyema Cafe
 Godfrey Bwogi akiteta na mwenzake
Maua Nyumba ya Wageni.
SHUKRANI KWAKO MSOMAJI KWA KUENDELEA KUFUATILIA BUKOBAWADAU


Next Post Previous Post
Bukobawadau