Bukobawadau

MWALIMU MKENYA KATIKA KOMBE LA DUNIA BRAZIL

 Aden Marwa mwenye umri wa miaka 37 ni mmoja wa marefa wanaochezesha michuano ya kombe la dunia nchini Brazil. Ni refa wa kwanza mkenya kuwahi kuchezesha katika dimba la dunia
Washiriki katika kombe la dunia huwa na fahari kubwa kujihusisha katika michuanbo hiyo katika namna yoyote ile.
.Na ndivyo ilivyo kwa Mkenya Bwana Aden Marwa ambaye ni mmoja ambaye ameteuliwa kuwa miongoni mwa marefa watakaocheza michuano ya kombe hilo huko Brazil kuanzia wiki hii.
Paul Nabiswa alimtembelea refa huyo msaidizi ambaye vile vile ni mwalimu wa Kemia na Hesabu katika kijiji anachotoka huko Kuria karibu na mpaka wa Kenya na Tanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau