Bukobawadau

BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAISLAMU WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WANAOISHI BRUSSELS

Balozi wa  Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati baada kumaliza sherehe za Baraza la Idd liloandaliwa na uongozi huo. Baraza hilo limefanyika Brussels leo. Kushoto kwa Balozi Kamala ni Mhe.Hassan Karera Mwenyekiti wa chama hicho.
Next Post Previous Post
Bukobawadau