Bukobawadau

BUKOBA- KATOMA-KYABITEMBE NA CAMERA YETU JUMATATU JULY 14,2014

  Katikati ya viunga vya Mji wa Bukoba,Majira ya saa tano asubuhi ya Jumatatu July 14,2014 , Camera yetu inakutana Uso kwa uso na Dr. Abas Byabusha pichani.
Dr. Abas Byabusha ni Mtanzania na Mdau wetu mkubwa anaeishi New York nchini Marekani, ni kati ya watu wanao tufuatilia kwa karibu na amekuwa akitoa ushirikiano mkubwa na Bukobawadau Blog ,kwa kutoa ushauri wa hapa na pale na kutushirikisha katika matukio juu ya taarifa za Wadau wengine waliopo kimaisha nchini Marekani.
 Dr. Abas ameongozana na familia yake kwa ajili ya likizo 
Katikati ya Viunga vya Mji wa Bukoba, Dr Abas anafurahi kumuona rafiki yake wa Siku nyingi naye si mwingine ni Kijana aluatana Al Amin Abdul Amin Birundulu pichani kulia 
 Mr & Mrs Abas Byabusha katika picha na Al-Amin Abdul
Sehemu ya watoto wa familia ya Dr Abas, kutoka kushoto ni Kijana Juma ambaye ndiye (first Born), katikati ni Kijana Azad A. Byabusha.
Wa pili kushoto pichani  ni Ndugu wa familia aliyefika mjini hapa kwa ajili ya kuwapokea wageni hawa  tayari kwa kuelekea Nyumbani Kijijini huko Kamachumu kwa ajili ya likizo
Kwa haraka haraka  wakipitia kurasa zetu juu ya kilichojili kwa siku ya jana Mjini hapa.
 Muonekano ya Maeneo ya Kyabitembe Mjini Bukoba
 Eneo la makazi ya Wanachi lenye viwanja vilivyo pimwa Kyabitembe ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
Hivi ndivyo kasi ya Ujenzi inavyo endelea katika eneo hili la Kyabitembe ambalo halikuwa na makazi ya watu hapo hawali.
Barabara ya Mlima wa Katoma wenye Kona na mteremko mkali
 Kona enye mteremko mkali wa barabara ya Katoma 
Barabara ya Katoma Kyakairabwa Bukoba
Watu wakiwa wanaendelea na Ujenzi eneo la Mlima Katoma Bukoba
 Kuitafuta Kyakairabwa kwa kutokea Kijiji cha Katoma
 Ni hapa na pale na Camera yetu kupitia Bukobawadau Blog, Tunaendelea kutoa Shukrani kubwa kwako wewe msomaji kuendelea kutembelea mtandao wetu!
Sehemu ya majengo maeneo ya Kyakairabwa.
Inavyo onekana barabara ya zamzam
Kijana Hussen Hussein akicheck na Camera yetu mtaani hii leo
  Upande wa Kaskazini, Magharibi haya ni maeneo ya Nshabya ndani ya Mji wa Bukoba
 Barabara ya Uganda eneo la Rwamishenye Bukoba
 Kwa mbali yanaonekana majengo ya uhakika ya Hospitali ya Wilaya Bukoba

Next Post Previous Post
Bukobawadau