Bukobawadau

DAKIKA 120 GERMANY 2-1 ALGERIA

Tunaweza kufanya hivyo tena:Mashabiki wa Algeria wakionyesha matumaini yao uwanjani.
  Wachezaji wa Ujerumani wakiwa wamejipanga kwa ajili ya wimbo wa Taifa.
Sehemu ya mashabiki wa Algeria uwanjani, Mpaka dakika ya 90 kipindi cha kwanza timu zote zilikuwa sare ya bila kufungana , na kusababisha muda uongezwe hadi dakika 120
Mchanganyiko kimazingira anaonekana Shabiki wa Ujerumani akipeana busu na Shabiki wa Kibrazil ndani ya uwanja  Estadio Beira-Rio
Shabiki wa Algeria aliyevamia uwanjani anatolewa  kimya kimya.
Shabiki wa Algeria aliyevamia uwanjani wakati timu yake inafanya mazoezi ya kupasha misuli,anakimbizwa na  mmoja wa wanausalama uwanjani 
Wachezaji wa  Algeria timu wakipeana mikakati ya kiuchezaji muda mchache kabla ya mechi hatua ya  16 dhidi ya Ujerumani
 Uwanjani anaonekana mwanadada Ann-Kathrin Broemmel, ambaye ni mpenzi wa Mchezaji wa Ujerumani Mario Gotze .
Hali ya Mvua na mawingi inaonekana kutanda usawa wa uwanja wa Estadio Beira-Rio
 Anafanya kweli kipa wa Algeria  Rais M'Bolhi kudaka mpira wa hatari kutoka kwa Mshambuliaji wa  Ujerumani Thomas Muller pichani katikati.
Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer akimdhibiti  mshambuliaji Islam Slimani wa Algeria
 Iilikuwa ni Bao safi la kichwa lililofungwa na Mshambuliaji wa Algeria Islam Slimani pichani (kulia) kama anapiga mbizi vile, limekataliwa baada ya kuonekana ameotea.
  Faouzi Ghoulam anapoteza nafasi licha ya changamoto anayoipata kutoka kwa mchezaji  Mesut Ozil .
 Kocha wa Algeria Vahid Halilhodzic anarudisha mpira uwanjani , baada ya kuwa umevuka
 Hatari kwa Algeria, Kipa  Rais M'Bolhi anaokoa mpira ukiwa usawa wa mwamba.
Kipa  Rais M'Bolhi wa Algeria anaokoa mpira wa hatari kutoka Mario Gotze ambaye amengia baada yamabadiliko yaliyofanyika kipindi cha pili kwa Ujerumani.
Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer akikabiliana uso kwa uso na Mshambuliaji wa Algeria Islam Sliman .
 Kiroho safi wanaoneka wakiwa wametulia! ni MwanadadaAnn-Kathrin Broemmel (kushoto), mpenzi wa Mchezaji Mario Gotze na Montana Yorke,ambaye ni Mpenzi wa Mchezaji Andre Schurrle kwa pamoja wakifutilia kinachojili ndani ya uwanja waEstadio Beira-Rio
 Kipa wa Algeria  Rais M'bohli (katikati) anaokoa mpira wa kichwa kutoka kwa mchezaji wa Ujrumani Beki Shkodran Mustafi pichani  (kushoto)
 Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer anaokoa na kuanzisha mashambulizi haraka

 Rais wa FIFA Sepp Blatter (kushoto) akionyesha kiatu alichokabidhiwa kabla ya kukamilika  hatua ya 16
 Kipa wa Algeria  Rais M'Bolhi (kushoto) anaokoa kazi ya kichwa cha Mshambuliaji Thomas Muller namba (13)mgongoni
Goooal ni mchezaji  Andre Schurrle wa Ujerumani anaipatia timu yake bao la kwanza mwanzoni mwa dakika 30 za muda wa nyongeza.Ujerumani 1-0 Algeria
KipaManuel Neuer (kushoto) na Miroslav Klose akipongezana 
Next Post Previous Post
Bukobawadau