Bukobawadau

KASHAI 2-0 KAHORORO;KAGASHEKI CUP 2014

 Ni Alhamisi July 3,2014 Mashabiki wa Soka wakiwa wamejitokeza kwa wingi kushuhutia Mtanange wa Soka Kati ya timu za Kata mbili JIRANI , Kashai na Kahororo.
Taswira jukwaa la mchanganyiko.
 Kikosi kamili cha 'ABAGAMBA KAMO' Kahororo
Kikosi kamili cha 'BANYALUGANDA' Kashai Fc.
Manahodha wa timu zote mbili katika picha na Waamuzi wa Mchezo huu.
 Haji Abdul Sued (Kananga )akifuatilia mtanange kati ya Kashai Fc AKA 'Banyaluganda' na Kahororo

Sakata likiwa linaendelea ndani ya Uwanja wa Kaitaba
.Vile vumbi linavyotimuka ndani ya Uwanja wa Kaitaba.
 Wachezaji wa Kashai wakitoa Salaam Maalum kwa Mdau Shajidu (Kashai) baada ya kupata bao
 Mpira wa adhabu kuelekea langoni mwa Kahororo, uliopelekea bao la pili kwa timu ya Kashai

 Wachezaji wa Kashai wanapongezana.
 Anaonekana Mh. Ibrahimu Idd Maburouk Diwani Kata Bilele wa pili kutoka kushoto sehemu ya Juu
 Mashabiki wa Kashai na midundo yao Uwanjani, Kashi 2-0 Kahororo.
 Kushoto ni Kijana Mohamed  Kassim maarufu kama ' moha wa Abajulizi'
 Kikosi Kazi cha Bukoba Cable Tv wakiwa uwanjani sambamba na matukio kupitia Channel 4 Bukoba.
 Shabiki wa Kashai akifuatilia mtanange uwanjani
Masho ya mashabiki Uwanjani
Mh. Bigger One, Maarufu kama Mh. Bigambo Diwani wa Kata Bakoba akifanya yakufanya uwanjani
Kwa matukio zaidi ya picha jiunge nasi katikak page yetu 'Bukobawadau Entertainment Media'
 Mzee Mshindo Madega Mchezaji zamani RTC Kagera na Lweru Eagles kwa sasa ni Kocha wa Kashai
 Anaitwa Mwinyi ,Ndiye kocha wa Bakoba aka Mwanzo mwisho
 Katikati ni Nicolas Ngaiza mtangazaji 88.5 Kasibante Fm Radio akitete jambo na  Malick Tibabimale.
Shabiki wa Kashai akicheck na Camera yetu uwanjani
 Mtu na Raha zake ndivyo anavyo onekana Kijana Mbaraka MAARUFU kama ' Pasua Kichwa'
 Kushoto ni Jack Kasimbazi na Bibie Al hamsa Jamila Adam
Sehemu ya Mashabiki  kama vile wakionyeshana Jambo  Uwanjani
Sehemu ya Mashabiki Uwanjani
 Mawahidha kutoka kwa kucha Mshindo Madega.
 Mashabiki wakifanya Ukodak mbele ya Camera yetu.
 Mtanange ukiendelea kuchukua kasi Uwanjani.
 Katikilo Thomas Charles wa Kashai pichani kushoto.
 Anaitwa Goda wa Gada ni Mdau Abbas Hamiry Rosheen mtoto wa Marehemu Mzee Rosheen wa TFF.

Next Post Previous Post
Bukobawadau